Ajali mbaya ya kutisha imetokea muda huu maeneo ya Mang'ula kituo baada ya Ifakara mjini. Ajali imehusisha treni inayoelekea DSM na basi linalofanya safari za DSM-Mlimba Morogoro.Source:- JF
Watu wengi sana wahofiwa kupoteza maisha kutokana na jinsi basi lilivyo haribika. Dereva wa basi ametoka mzima na amefanikiwa kuescape.
Mungu walaze mahali pema wote waliopoteza maisha yao. AMEN.
إرسال تعليق