Stori: Gladness Mallya MSANII
wa Filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amesema sasa hivi
yuko kwenye wakati mgumu kutokana na baadhi ya marafiki na ndugu
kumtenga wakimhusisha na skendo ya usagaji.
Msanii wa Filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’.
Akichonga na paparazi wetu, Vai alisema amekuwa akiumia na kukosa
raha kwani kila kona anayokatiza anaitwa msagaji kutokana na kuwa na
mashosti wengi wenye katabia hako, jambo linalomfanya atengwe.
“Kila ninakopita naitwa msagaji, hata baadhi ya marafiki wananikimbia baada ya wazazi wao kuwakataza kwamba wasiwe na mazoea na mimi kwa sababu ni msagaji, ukweli ninaumia sana kwani sina tabia hiyo jamani naombeni watu wanielewe,” alisema Vai.

Msanii wa Filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’.“Kila ninakopita naitwa msagaji, hata baadhi ya marafiki wananikimbia baada ya wazazi wao kuwakataza kwamba wasiwe na mazoea na mimi kwa sababu ni msagaji, ukweli ninaumia sana kwani sina tabia hiyo jamani naombeni watu wanielewe,” alisema Vai.

Post a Comment