Muongozaji wa video za muziki, Nisher amesema video ya wimbo wa
Young Killer ’13’ aliyomshirikish Fid Q ni video tofauti kuliko zote
alizowahi kufanya.

Nisher ambaye ni mshindi wa tuzo muongozaji wa video zinazopendwa katika Tuzo za Watu, ameandika kwenye Facebook:
Utakapo Kua-unaitazama video hii Hakikisha unavitu vifuatavyo…Uwe
na Speakers nzuri Zinazoweza kutafsiri Bass vizuri kama vile Surround
Sound… Make sure una TV nzuri au kama ni Computer Make Sure Ninzima
haina Matatizo… Kwenye Hii Video Nimecheza Na Macho na Maskio yako sana
So, Get Ready Kuchanganyikiwa… Kuna Sound Effects Zaidi ya 87 humu ndani
Na Visual Effects Ili Kukupa Excitement ya kutazama… Nikitu Tofauti
sana Na Video Zangu Zote!!!! Hope you will Enjoy… #13 #NOVEMBER13
#NisherBybee
Post a Comment