Ommy Dimpoz( @ommydimpoz )Kuachia Audio na Video ya TUPOGO REMIX Kesho
Hisia0
Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz ameandika katika Ukurasa wake wa Instagram kuwa Anatarajia kuachia Audio na Video ya TUPOGO REMIX siku ya Kesho. Hivi ndivyo alivyoandika:- "Tomorrow
si ndo Kesho? Basi jiandae...bonus Track from the Album TUPOGO REMIX
audio & Video ushawahi kuona waswahili wanavyotwerk kwenye Treni?"
Post a Comment