Ni time nyingine tena, mkali Omary Faraji Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz
anarudi kwenye headlines, story zimeenea kwamba jamaa anaachia video
yake siku ya kesho, lakini unajua mambo mawili ambayo nataka
nikufahamishe leo?
Kwanza ni kwamba tumeona mastaa wengi Bongo na East Africa kwa ujumla
wanapaa na kwenda kufanya video kali nje ya nchi, lakini Ommy kaifanya
hii hapahapa Tz ambapo Director Adam Juma amehusika kwa 100% kuifanikisha.
Pili ni kwamba najua umeona picha nyingi sana mtandaoni, kutokana
na love yangu kwako mtu wa nguvu nimekuwekea kionjo cha video yake hapa,
unaweza kuicheki na kuacha comment yako, unadhani kwa ujio huu Ommy Dimpoz ataendelea kufanya vizuri zaidi kwenye vituo vya TV vya kimataifa kupitia video hii?
إرسال تعليق