Picha: Diamond, Zari the Boss Lady watua Dar pamoja, wapiga selfie za kutosha safarini

Guess nani aliyekuja kwenye ndege moja Dar es Salaam na Diamond… ni mwanamuziki/mfanyabiashara anayedaiwa kuwa mrembo zaidi nchini Uganda, Zari the Boss Lady! Diamond alikuwa anatokea nchini Afrika Kusini alikoenda kushoot video pamoja na Waje. Zari huishi huko na anamiliki chuo.
1389779_733717266714234_874210408_n Diamond na Zari
“Guess who is sitting next to me on this flight to TZ,” ameandika Zari kwenye picha aliyoweka Instagram.
928693_286936824837798_2101431262_n
Wawili hao walijikuta wakiwa kwenye siti moja na walionekana kufurahia kampani ya pamoja na kwakuwa wote ni wapenzi wa picha, safari ilikuwa fupi!
10748312_380766132081186_1341116167_n
“When a flight is boring and there is 2 people who love pics what happens? #SelfieTingz @diamondplatnumz,” ameandika Zari kwenye picha moja wapo kati ya alizoziweka kwenye Instagram.
10747961_623805581062148_1336682648_n
Baada ya kutua na kupiga picha ya mwisho na kwa kujua kuwa picha hizo zinaweza kuzua tetesi za uhusiano, Zari aliandika: Flight was great…… don’t spread false rumors.
10785089_795354283836837_410715652_n

Post a Comment

Previous Post Next Post