Franklin na Luzinda enzi za uhusiano wao
Baada ya muimbaji wa Uganda, Desire Luzinda kutoa tamko rasmi la
kuomba radhi kutokana na picha zake za utupu zilizovujishwa mtandaoni,
aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki huyo Mnigeria Franklin Emuobor Ebenhron
naye ameibuka na kuzungumzia sababu zilizomfanya kuvujisha picha za ex
wake huyo baada ya kutofautiana.

Post a Comment