Hot Video: Ex wa Desire Luzinda aliyevujisha picha zake za utupu aibuka na kuzungumiza kilichomfanya avujishe

Franklin-and-Desire 
 Franklin na Luzinda enzi za uhusiano wao
Baada ya muimbaji wa Uganda, Desire Luzinda kutoa tamko rasmi la kuomba radhi kutokana na picha zake za utupu zilizovujishwa mtandaoni, aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki huyo Mnigeria Franklin Emuobor Ebenhron naye ameibuka na kuzungumzia sababu zilizomfanya kuvujisha picha za ex wake huyo baada ya kutofautiana.

Post a Comment

أحدث أقدم