Kama ingekuwa Bongo basi watu wangeamini kuwa bibi harusi
karogwa! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mdogo wake Beyonce, Solange
alifunga ndoa na kusherehekea kwa furaha lakini ilipomalizika mwili wake
hususan usoni uliibuka na vipele (hives) kama tetekuwanga!
Solange akionekana kuwa kwenye maumivu baada ya kuibuka vipele hivyo vinavyodaiwa kutokana na allergy
Beyonce alikuwa karibu kumsaidia mdogo wake

Hizi ni picha za wakati mambo hayajaharibika.

Solange akionekana kuwa kwenye maumivu baada ya kuibuka vipele hivyo vinavyodaiwa kutokana na allergy
Beyonce alikuwa karibu kumsaidia mdogo wake

Hizi ni picha za wakati mambo hayajaharibika.

Post a Comment