CORD Viongozi na wanachama waungana na Wakenya wengine kumuomboleza Seneta Otieno Kajwang

WAKENYA
wa matabaka mbalimbali jana waliweka kando tofauti zao za kisiasa na
kuungana kuomboleza kifo cha Seneta wa Homa Bay Otieno Kajwang.’ ang’
aliaga dunmfupi baada ya usiku wa kuamkatika Hospitali r, Nairobi,
ampelekwa baada amika kuwa na vu ya kifua.
unge yote mawnge la Kitaifa nge la Seneti) irisha shughuli za kawaida ili u omb o l e z a nasiasa huyo.

anasiasa wa Muno wa Cord, iongozwa na go wao Raila nga, Kalonzo syoka na
Moses tang’ula walia hospitalini ater kufuatia bari za kifo a Kajwang’
na adaye wakaeleea chumba cha uhifadhia maiti ha Lee Funeral Home ambako
mwili wake ulipelekwa.
PIGO KWA CORD “Kifo cha Kawang bila shaka i pigo kwa chama cha ODM na uungano wa rd kwa jumla.
wasihi wafuasi kote nchini na eko wawe watumgumu. Mwili nguzi wa kina,” inga katika Lee fla cha Bw Kakuu si tu kwa kwa muungano aliunga mkono mamo na sera kinafuatia cha e wa Makueni mnamo Aprili baye kufikia sasa homuua.
mbao chama cha ana kuyumba ukosuko ya kila ng amesimama kidete na kiongozi wa chama hicho Raila Odinga huku akiwataja wabunge wanaoonekana kuwa waasi kuwa fuko na wasaliti walionunuliwa na muungano tawala wa Jubilee.
Kwenye taarifa kwa vyombo vya habari, Rais Uhuru Kenyatta alitaja kifo cha Bw Kajwang kuwa pigo kubwa kwa taifa ambalo alitumikia kwa ujasiri na kujitolea akiwa mbunge, waziri na baadaye Seneta.
“Ni vigumu kwa yeyote kati yetu kupata maneno yanayoweza kuelezea tunavyohisi wakati huu wa huzuni,” akasema Rais Kenyatta.
Kiongozi wa wengi katika Seneti Profesa Kithure Kindiki na Mkurugenzi wa Mtandao wa Dijitali katika serikali Dennis Itumbi waliokuwa miongoni mwa viongozi wa kwanza wa Jubilee kuwasili katika hospitali ya Mater kufariji familia ya Bw Kajwang.
Profesa Kindiki aliambia Seneti kuwa Kajwang alikuwa Seneta wa kutegemewa na rafiki wa wengi.
Bw Musyoka alisema vita vya kutetea maslahi na haki za wananchi vitaendelea licha ya Bw Kajwang’ kuaga dunia.
Marehemu amekuwa mstari wa mbele katika kampeni za ODM, Cord na vuguvugu la Okoa Kenya na alifahamika kwa wimbo wake maarufu wa “Bado Mapambano.” Kwa upande wake, Bw Wetangula alisema wamempoteza kiongozi aliyetegemewa sana na muungano wa Cord bungeni. “Tumempoteza kiongozi shujaa na ambaye alikuwa na mwelekeo,” akasema.
Katibu Mkuu wa ODM Profesa Anyang Nyongo pia alituma risala za rambirambi akiwa London anakohudhuria kongamano la chama cha mabunge ya jumuiya ya madola.
Viongozi wengine wakiwemo mawaziri Charity Ngilu (Ardhi) na Anne Waiguru (Ugatuzi) na wananchi walijumuika kwenye mitandao ya kijamii kuliwaza familia ya marehemu.
Mwenyekiti wa Chama cha Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Nairobi (Sonu) Babu Owino aliahidi kuwa wanafunzi 1,000 wa chuo hicho watahudhuria mazishi ya Seneta Kajwang’.
Bw Odinga alifichua kuwa Kajwang alihusika kwenye ajali ya barabarani Ijumaa iliyopita mjini Oyugis ambapo gari lake liliharibika vibaya, dereva wake akaumia lakini Kajwang’ hakujeruhiwa.

Wakati huo huo, wabunge watatu wa ODM jana wameelezea hofu kuhusu kifo
cha Kajwang’ wakisema huenda si cha kawaida ikizingatiwa kuwa alikkosana
kisiasa na watu kadha ndani na nje ya Kaunti ya Homa Bay.
Wakiongozwa na Mbunge wa Suba John Mbadi, viongozi hao wameitaka serikali ichunguze kwa kina kuhusu kifo hicho hasa kilichosababisha ajali hiyo ya Ijumaa mjini Oyugis.
“Tungetaka chama cha ODM na Cord kuteua mtaalamu huru atakayefanyia upasuaji mwili wa Kajwang’ ili kubaini kilichomuua. Katika miaka ya nyuma wanasiasa mashuhuri wamefariki katika hali tatanishi na Wakenya wanafaa kuelezwa wazi chanzo cha mwanasiasa huyo jasiri aliyepigania ukombozi wa pili wa taifa hili,” akasema.
Hata hivyo, Bw Mbadi, ambaye alikuwa ameandamana na James Opiyo Wandayi (Ugenya) na Aduma Owuor (Nyakach) alisema kauli yao haimaanishi wanajua chochote kuhusu kifo hicho.
Kajwang alifariki Jumanne usiku kutokana na kile madaktari walisema kuwa mshutuko wa moyo. Alipelekwa katika hospitali ya Mater, Nairobi, ambako alikata roho akihudumiwa.
Kajwang’ ni Seneta wa pili kuaga dunia tangu Bunge hilo lilipoanza vikao vya Aprili mwaka jana. Seneta wa kwanza alikuwa Mutula Kilonzo (Makueni - Wiper). Kiti hicho kilitwaliwa na mwanawe, Mutula Kilonzo Junior.
Maelezo zaidi na CHARLES WASONGA

Post a Comment