PSPF yachangia bati 200 zenye geji 28


Na Mathias Canal
PSPF yachangia bati 200 zenye geji 28, Wilayani Kilolo kwa ajili ya kuchochea ujenzi wa maabara kabla ya muda kwisha ulioagizwa na JK.
Bati hizo zimekabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Gerald Guninita kutoka kwa Amelia Rweyimamu ambaye ni Muwakilishi wa PSPF makao makuu Dar es salaam

Post a Comment

Previous Post Next Post