
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini jioni ya
leo, Alhamisi Novemba 6, 2014, kwenda Marekani kwa ajili ya uchunguzi wa afya
yake.
Rais Kikwete atakuwa
Marekeni kwa muda wa siku kumi.
Mwisho.
Imetolewa na;
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu – Dar
es Salaam.
06 Novemba,2014
إرسال تعليق