 |
 |
| Benki
ya NMB leo imevunja historia ya miaka ya nyuma kwenye bonanza
lilifanyika leo kwenye viwanja vya Education ambapo kulikuwa na
mashindano ya Mpira wa miguu kwa kina dada na pia mpira wa mguu kwa
wavulana kama kawaida,Bonanza lililohudhuriwa na wanafunzi zaidi ya elfu
8 waliomiminika katika viwanja hivyo, Na pia baada ya mtanange huo
kulikuwa na burudani ya wasanii mbali mbali akiwemo Recho ambao
walifanya poa sana kwenye jukwaa hilo: |
|
|
إرسال تعليق