Bibi Harusi Mtarajiwa Noreen Mhina akiwa katika nyuso ya Furaha, tarehe 25.11.2014
Bibi Harusi Mtarajiwa
Noreen akiwa amempata Mume wake mtarajiwa Leonard Baada ya kumsaka
ukumbi Mzima kwa ajili ya kumtambulisha kwa wageni waalikwa .
Bibi harusi Mtarajiwa
Noreen akimvisha Mume wake mtarajiwa Leonard zawadi ya Saa Mara baada
ya kutambulishwa Rasmi wa wageni waliofika katika Sherehe ya kumuaga.
Mc wa Sherehe hiyo ya kumuaga Noreen akiendelea na yake
Bwana Harusi Mtarajiwa
Leonard akionesha zawadi yake ya saa aliyonunuliwa na Mke wake
mtarajiwa Noreen ikiwa ni moja ya zawadi ya kufika kwake katika sherehe
hiyo
Mume Mtarajiwa Leonard wa Noreen akiwa anamlisha Chakula Mkewe Mtarajiwa ishara ya Upendo
Msemaji wa upande wa Bwana
harusi mtarajiwa akiwakaribisha rasmi katika harusi upande wa wazazi wa
Noreen, Ndugu jamaa na marafiki na kutoa nasaha chache. Jana Tarehe
25.11.2014.
Meza ya wazazi wa upande wa
Bibi harusi mtarajiwa wakiwa wanasikiliza Nasaha kutoka kwa msemaji wa
upande wa Bwana Harusi mtarajiwa.
Wadada wa Mujini nao walimwagia pesa za kutosha Noreen.
Baadhi ya Marafiki wakubwa wa Noreen aliosoma nao katika chuo cha CBE Dodoma.
Palikuwa hapatoshi hapa
ambapo Noreen na Bwana Harusi Mtarajiwa Leonard pamoja na wageni
wengine waalikwa walicheza kwaito ya nguvu..
Burudani ya nguvu inaendelea hapa.
Kama kawaida wale
mapaparazi wa kujitegemea hawakosi kupata ukodaki wa nguvu kwa ajili ya
Facebook, Twitter, Instagram, Whatsapp na kwengine kwingi kuifanya
sherehe kuwa inanoga zaidi
Baadhi ya Wageni waalikwa wakifuatilia Sherehe na kufurahi.
Bibi Harusi Mtarajiwa akiwa
anapunga mikono kuaga wageni waalikwa ishara ya kuondoka ukumbini
kwenda kupumzika na kujiandaa na harusi huku akisindikizwa na wapambe wa
kutosha.
إرسال تعليق