Mdahalo huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere umesimamishwa kwa
muda ili kuhakishia salama, sababu kuna vijana wameibuka na mabango
yao ndani ya mdaahalo huo wa Maoni ya Wananchi na Katiba
inayopendekezwa, wakatika Jaji Warioba kuichambua Rasimu ya katiba ya
Jamuhuri ya Muunagano waTanzania, Siku ya Jumapili Nov 2, 2014 Ubungo
Plaza Jijini Dar Es Salaam.
Voice Via ITV
Voice Via ITV
إرسال تعليق