
BWANA CHRISANTUS LUCAS MILANZI
Bwana
Chrisantus Lucas Milanzi, mzaliwa wa Masasi Mtwara, ambaye picha yake
inaonekana hapo juu, si mwajiriwa wa Chuo Kikuu cha Dodoma.
Chuo
hakihusiki na muamala wowote unaofanywa na mhusika kwa niaba ya Chuo.
Wananchi wenye malalamiko kuhusiana na miamala iliyofanywa au
inayofanywa na muhusika kwa niaba ya Chuo wayafikishe kwenye vyombo vya
dola kwa hatua za kisheria.
Wananchi wanaombwa kuzingatia kwamba Chuo Kikuu cha Dodoma kina taratibu za kuendesha shughuli zake kwa mujibu wa sheria.

Bw. Tito Ivan William
Chuo Kikuu cha Dodoma kinapenda kuutaarifu umma kuwa Bwana Tito Ivan William,
mzaliwa wa Kijiji cha Mtumba - Manispaa ya Dodoma, ambaye picha yake
inaonekana hapo juu, sio mwajiriwa wa Chuo Kikuu cha Dodoma kuanzia
tarehe 31 Januari 2014.
Chuo
Kikuu cha Dodoma hakitahusika na makubaliano yoyote yatakayofanywa na
mhusika kwa niaba yake. Malalamiko yoyote (kama yatakuwepo) kuhusiana na
mhusika, yapelekwe kwenye vyombo vya dola kwa hatua za kisheria.
Tunatanguliza Shukrani kwa Ushirikiano
IMETOLEWA NA OFISI YA UHUSIANO – CHUO KIKUU CHA DODOMA
Tunatanguliza Shukrani kwa Ushirikiano
IMETOLEWA NA OFISI YA UHUSIANO - CHUO KIKUU CHA DODOMA
إرسال تعليق