Hii nimekutana nayo Youtube, jamaa ameamua kutumia njia hii kumfariji mke wake ambaye alikuwa anasubiri kujifungua.
Mimi niliona kama kitu kigeni, hasa sana
kwa mazingira ya hospitali. Hivi ikitokea mtu akafanya hivi kwa
mazingira ya hospitali zetu jinsi zilivyo, naomba uniambie namna ambavyo
unadhani manesi na madaktari watamfanya huyu jamaa ingekuwa ni
hospitali za Kibongo…
إرسال تعليق