Video:- Hivi Ndivyo Bunge "Lilivyowaka Moto" baada ya Freeman Mbowe naye kuhusishwa na Mgawo wa Pesa za Escrow
Hisia0
Kuliibuka Majibishano Makali Bungeni baada ya Mbunge Assumpta
(CCM) Kumtaja Freeman Mbowe kuhusika na mgawo wa pesa za
Escrow, hali iliyomfanya John mnyika asimame na kumtaka mbunge
huyo kuthibitisha kauli yake....
Post a Comment