Video:- Hivi Ndivyo UKAWA Walivyochafua Hali ya Hewa Bungeni Jana Baada ya Kugoma Wakishinikiza Waziri Muhongo Awajibishwe



Vurugu  za  aina  yake  ziliibuka  Bungeni  jana  usiku   baada  ya  UKAWA  Kugoma  kuendelea  na  mjadala  wa  Bunge  wakishinikiza  Waziri  Muhongo  awajibishwe....

Vurugu  hizo  ziliibuka  baada  ya  kiongozi  wa  kambi  rasmi  ya  upinzani  bungeni, mh. Freeman Mbowe  kusimama  na  kumtuhumu  Spika  wa bunge kuwakumbatia  wezi  wa  Pesa  za  Escrow, hali  iliyowafaya  wabunge  wa  upinzani  wasimame  na  kuanza  kuimba  nyimbo  za  kuwataka  wezi  watoke  ndani  ya  ukumbi  wa  bunge...


Hali  hii ilimlazimu  spika  wa  bunge  kuahirisha   bunge  mpaka  watakapojadiliana.

Tazama  video  ya  tukio  hili  hapo  chini. 

Post a Comment

Previous Post Next Post