Wanne watolewa #BBA_Hotshots, Unajua kura zinamuweka kwenye nafasi ipi Idris?

BIG-BROTHER-AFRICA-2014
Siku ya 56 ripoti ikufikie kutoka ndani ya jumba la Big Brother Africa #BBA9_Hotshots kwamba leo kuna washiriki wengine wawili waliotoka, ulikuwa mbali na TV yako usiku wa tukio hili?
Goitse mshiriki wa kutoka Botswana, Ellah mwakilishi kutoka Uganda, Sheillah mwakilishi wa Botswana na Trezagah kutoka Msumbiji leo Novemba 30 ndiyo washiriki walioaga kutoka ndani ya jumba hilo
Idadi ya washiriki waliobakia ni washiriki nane tu, akiwemo Idris kutoka Tanzania na kwa mujibu wa ukurasa wa Big Brother kwenye Twitter matumaini yaliyopo kwamba ikiwa msimamo wa kura ukiendelea poa kama hali ilivyo huenda neema ikawa kwa mshiriki huyo akarudi na ushindi.
DSC06321
Ellah.
DSC06323
Goitse.
DSC06331
DSC06334
Idris.
Sheillah.
Sheillah.
Trezagah.
Trezagah.
DSC06338

Post a Comment

Previous Post Next Post