Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TPDC, Michael Mwanda (mbele) na
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, James Andilile (nyuma yake), wakiongozwa
na Polisi kuingia kwenye gari kwa ajili ya kupelekwa rumande baada ya
kamati hiyo, kuwakuta na hatia ya kuidharau na kuinyima taarifa muhimu,
wakati ilipokaa kama Mahakama katika kikao chake hicho.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe,
akifafanua jambo wakati akiwahoji Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Michael Mwanda na Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, James Andilile wakati kamati hiyo,
ilipokaa kama Mahakama katika kikao chake kilichofanyika jana, Ofisi za
Bunge, Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Deo
Filkunjombe.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, James Andilile (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC, Michael Mwanda
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TPDC, Michael Mwanda (mbele) na
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, James Andilile (nyuma yake), wakiongozwa
na Polisi kwenda kuingia kwenye gari kwa ajili ya kupelekwa rumande
baada ya kamati hiyo, kuwakuta na hatia ya kuidharau na kuinyima taarifa
muhimu, wakati ilipokaa kama Mahakama katika kikao chake hicho.
إرسال تعليق