Zitto:- Mwigulu Ni Kiongozi Kijana na Mzalendo

Mh Mwigulu Nchemba ni kiongozi anayependwa sana wana CCM wenzake lakini pia ndiye kiongozi anayependwa zaidi sana na watanzania walio wengi tena wa hali na tabaka zote kutokana utendaji na Uchapakazi wake ulio na uadilifu sasa hili limezidi kudhihirishwa mpaka mh Zitto Kabwe

Post a Comment

Previous Post Next Post