Mwanamke kwa jina Ting Su nchini
Uchina alimwacha mumewe na dadake bila nguo barabarani baada ya kuwapata
wakifanya mapenzi Ting Ting Su aligundua kwamba mumewe alikuwa
akimdanganya na dadaake na kuwafuata hadi katika kituo kimocha cha
maduka akitumia teknologia katika simu yake ambapo aliwapata
wakichemshana katika gari la mumewe.Kulingana na gazeti la Metro,shahidi aliyejulikana kama You Meng alisema walioshuhudia kisa hicho walibeba simu zao na kuanza kuchukua picha na yeye hakubakia nyuma.
Mumuwe aligonga dirisha la gari hilo na kumpigia kele mkewe lakini hakujali kamwe aliliondosha gari hilo kwa haraka.
- BBC
Post a Comment