Ishu
ya pili ni Diamond kuonekana na Zari kwenye Tuzo za Channel O Afrika
Kusini siku ya Jumamosi, Aunt Ezekiel amesema hajui chochote kuhusiana
na masuala hayo na kusema hawezi kuzungumzia masuala ya mtu binafsi

Kwenye
U Heard ya leo Decemba 01 2014 Gossip Cop Soudy Brown ameongea na
mwigizaji Aunt Ezekiel kuhusu ishu mbili tofauti ambapo ya kwanza ni
kuhusu rafiki yake Wema kama amewahi kumwambia chanzo cha kuachana na
Diamond.

إرسال تعليق