Ripoti kutoka kaskazini mashariki
mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo zinasema kuwa mashua moja iliyokuwa
imebeba bidhaa na abiria imezama na karibu watu 36.
Maafisa wanasema kuwa zaidi ya watu 100 wamenusurika.
Inaripotiwa
kuwa ajali hiyo ilitokea siku ya Jumatatu umbali wa kilomita 30 kutoka
mji wa kisangani na kusababisa maandamano yaliyofanywa na vijana wenye
hasira kwenye mji wa Isangi ambapo mashua hiyo ilikuwa ikielekea
Nyumba kadha za serikali zinaripotiwa kuchomwa.
- BBC

Post a Comment