Asubuhi hii mtu
mmoja amekutwa kando kando ya mto wa ilolo uliopo jijini mbeya akiwa
amepoteza maisha kutokana na kuvamiwa na watu wasio julikana na
kumtelekeza kando kando ya mto, tunaomba radhi kwa picha hizi kwani
mpaka sasa hajatambulika ni nani na ni mkazi wa wapi.
mwili wa marehemu ambae hakuweza kutambulika kwa majina.
baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakidhadhiana juu ya tukio hilo,la mauaji lililo tokea mtaa huo.
majonzi yametawala eneo hilo.picha na Fadhiri Atick mr pengo globu ya jamii mbeya.
إرسال تعليق