.jpg)
Naibu
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar,
Salum Mwalimu akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Kisumba, Jimbo la
Kalambo, mkoani Rukwa, katika mfululizo wa mikutano ya ziara ya
Operesheni Delete CCM katika vijiji vya mkoa huo
.jpg)
Naibu
akikumbatiana na mzee ambaye alikuwa mmoja wa wasikilizaji kwenye
mkutano wa Operesheni Delete CCM uliofanyika katika Kijiji cha Samazi,
mkoani Rukwa. Mzee huyo ambaye alitokwa na machozi wakati akisikiliza
hotuba, alisema kuwa aliguswa sana na maneno ya Mwalimu.
.jpg)
Naibu Katibu Mkuu akiagana na wananchi wa kijiji cha Kisumba baada ya mkutano huo wa hadhara kijijini hapo.
.jpg)
Naibu
Katibu mkuu na msafara wake wakishiriki chakula walichoandaliwa na
wenyeji wao katika Kijiji cha Samazi Jimbo la Kalambo, baada ya mkutano
wa hadhara uliofanyika kijijini hapo ikiwa ni mwendelezo wa mikutano
mfululizo wa Operesheni Delete CCM mkoani Rukwa.
Post a Comment