Hoteli ya kwanza chini ya maji barani Afrika imefunguliwa kisiwani Pemba
nchini Tanzania. Hoteli hiyo ina umbali wa mita 250 kutoka baharini.
Salim Kikeke katika matangazo ya BBC Dira ya Dunia anasimulia akiwa
kisiwani humo, katika video ifuatayo... Kwa habari nyingine za kusisimua, kufurahisha na kuelimisha, usiache kuitembelea SwahiliBuzz
إرسال تعليق