الصفحة الرئيسيةSIASA LWAKATARE WA CHADEMA ASHINDA KESI YA UGAIDI Hisia ديسمبر 06, 2014 0 MKURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Maendeleo (Chadema) Taifa, Mhe. Wilfred Lwakatare ameshinda kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili. Kesi hiyo imeendeshwa katika Mahakama ya Rufaa Tanzania.
إرسال تعليق