HomeAUDIO New Music: Weusi f/ Navio, Naziz, Collo & Rabbit – Gere (East African Remix) Hisia December 29, 2014 0 Weusi wameachia remix ya hit single yao ‘Gere’ ambapo wamewakusanya miongoni rappers wakali wa Kenya na Uganda. Walioshirikishwa ni pamoja na Naziz, Collo na Rabbit wa Kenya na Navio wa Uganda. Pia kwenye remix hii utamsikia Lord Eyez. BOFYA HAPA KUPAKUA
Post a Comment