New Music: Weusi f/ Navio, Naziz, Collo & Rabbit – Gere (East African Remix)

Weusi wameachia remix ya hit single yao ‘Gere’ ambapo wamewakusanya miongoni rappers wakali wa Kenya na Uganda. Walioshirikishwa ni pamoja na Naziz, Collo na Rabbit wa Kenya na Navio wa Uganda. Pia kwenye remix hii utamsikia Lord Eyez.

Post a Comment

أحدث أقدم