MSANII
wa filamu Bongo, Shamsa Ford hivi karibuni alijikuta akiangua kilio
uwanjani baada ya timu yake anayoishabikia ya Yanga kufungwa mabao
mawili
“Unajua mimi ni Yanga damdam kufungwa imeniuma sana na nilishindwa kabisa kujizuia machozi, ukweli Yanga wanatukosea sana wao hawajui tu kwamba sisi mashabiki zao tunaumia,” alisema Shamsa.
Msanii wa filamu Bongo, Shamsa Ford.
Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika Uwanja wa Taifa ambapo
kulikuwa na mechi ya Nani Mtani Jembe 2 iliyozichezesha timu za Simba
na Yanga ambapo Shamsa alijikuta akilia kama mtoto baada ya timu yake
kufungwa mabao 2-0.“Unajua mimi ni Yanga damdam kufungwa imeniuma sana na nilishindwa kabisa kujizuia machozi, ukweli Yanga wanatukosea sana wao hawajui tu kwamba sisi mashabiki zao tunaumia,” alisema Shamsa.
إرسال تعليق