TAARIFA YA USAJILI WA WACHEZAJI DIRISHA DOGO NDANI YA KLABU YA MBEYA CITY

Klabu ya Mbeya City Council Fc kwenye usajili wa dirisha dogo imeongeza wachezaji na kupunguza wachezaji wengine kama ifuatavyo:
WACHEZAJI WAPYA
1.Kalyesubula Hannington – Golikipa
2.Juma Saidi Issa (Nyoso)- Beki wa Kati
3.Idrisa Rashidi- Winga
4.Fredy Cosmas- Mshambuliaji
5.Soneka Peter (U20) – Kiungo
6.Selemani Hassan (U20) – Winga.
WACHEZAJI WALIOTOLEWA KWA MKOPO
Klabu imetoa wachezaji wafuatao kwa mkopo ili wakaimalishe viwango vyao.
1.Anthony matogolo –kwenda Panone FC

2.Saady Kipanga – kwenda Polosi Tabora
3.Ramadhani Abdu – kwenda Majimaji Songea
4.Medson Mwakatundu-U20- kwenda Rhino rangers Tabora


5.Ramadhani Kapela-U20- Kwenda Coca Cola Mbeya
6.Majid Shabani-U20- Kwenda Coca Cola Mbeya
7.Abdalah Said -U20-Kwenda Coca Cola Mbeya

8.Waziri ramadhani (U20)-Burkinafaso Fc

Post a Comment

أحدث أقدم