Vanessa Mdee anaingia kwenye orodha inayozidi kukua ya wasanii
wa Bongo ambao video zao huanza kutambulishwa exclusive na TV kubwa za
nje kwa mara ya kwanza.

Video yake mpya aliyoshoot Afrika Kusini ‘Hawajaui’ itatambulishwa kwa mara ya kwanza na MTV Base siku ya Jumatatu (Dec 8) kupitia ‘Spanking New’.
Kupitia Instagram Vanessa ameandika:
“Monday FIRST ON BASE!!!!! #Hawajui saa kumi na mbili jioni “

إرسال تعليق