Moja ya mambo yaliyoubadili mkoa wa Dodoma hasa eneo la mjini ni
kuongezeka kwa idadi ya taasisi za elimu ya juu. Ndiyo kusema Dodoma
sasa ina wakazi wengi wakiwamo wanafunzi wanaoelezwa kuwa kwa kiasi
kikubwa wamebadili hali ya maisha katika mkoa huo
Post a Comment