AJIFUNGUA KISHA KUKITUPA KICHANGA KWENYE BOX

Hii imetokea Leo Dodoma. binti atoa mimba na mtoto kutupwa kwenye Box na Baada ya Hapo Kutupwa kwenye Takataka.
Swali ya Kujiuliza ni Kuwa
-> Ivi wakati unafanya ngono Ulitegemea nini?

Mtandao huu unalaani vikali kitendo hichi.

Post a Comment

Previous Post Next Post