Jengo
la Skuli ya Secondary ya Faraja lililofunguliwa na Makamo wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni
miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kushoto akisalimiana na
Muwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan katika ufunguzi wa
Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni
mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akikunjuwa Kitambaa
ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura
Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya
miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitembelea maeneo
mbali mbali ya Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar
baada ya kuifungua rasmi ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za
Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi
ya Walimu na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Skuli
ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa
shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Wanafunzi
wa Madrasa ya Kamaria wakileta burudani ya Kasida katika ufunguzi wa
Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni
mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna akitoa maelezo kuhusiana
na Skuli ya Secondary ya Faraja iliofunguliwa na Makamo wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni
miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
إرسال تعليق