Chelsea, Man City zauawa Nyumbani - Tazama Matokeo Yote Hapa

Mchezaji wa Bradford akishangilia baada ya kufunga goli dhidi ya Chelsea.
Stephen Jovetic wa Man City (Kushoto) akijaribu kupambana na mchezaji wa Middlesbrough.
Chelsea wametupwa nje ya mashindano ya FA baada ya kupigwa katika dimba lao la nyumbani yaani Stamford Bridge kwa kipigo cha mabao 4-2 dhidi ya timu ndogo kutoka ligi daraja la kwanza ya Bradford City
Mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika Chelsea walikuwa mbele kwa magoli 2-1, magoli ya chelsea yalifungwa na Garry Cahil dk ya 21 na Ramires dk ya 38 wakati Bradford walijipatia magoli yao kupitia kwa Jonathan Stead dk ya 41, Filipe Morais dk ya 75, Andrew Halliday dk ya 82 na Mark Yeates dk ya 94.
Wakati huo huo Man City nao wamepoteza mchezo wao dhidi ya Middlesbrough baada ya kupokea kipigo cha magoli 2-0. Magoli ya Middlesbrough yalifungwa na Patrick Bamford dakika ya 53 pamoja na Kike dakika ya 90.
Matokeo ya Mechi nyingine hayo hapo chini;
January 24
FT
Blackburn Rovers
Swansea City
FT
Birmingham City
West Bromwich Albion
FT
Cardiff City
Reading
FT
Chelsea
Bradford City
FT
Derby County
Chesterfield
FT
Manchester City
Middlesbrough
FT
Preston North End
Sheffield United
FT
Southampton
Crystal Palace
FT
Sunderland
Fulham
FT
Tottenham Hotspur
Leicester City

Post a Comment

Previous Post Next Post