
Mchezaji wa Bradford akishangilia baada ya kufunga goli dhidi ya Chelsea.

Stephen Jovetic wa Man City (Kushoto) akijaribu kupambana na mchezaji wa Middlesbrough.
Chelsea
wametupwa nje ya mashindano ya FA baada ya kupigwa katika dimba lao la
nyumbani yaani Stamford Bridge kwa kipigo cha mabao 4-2 dhidi ya timu
ndogo kutoka ligi daraja la kwanza ya Bradford City
Mpaka
kipindi cha kwanza kinamalizika Chelsea walikuwa mbele kwa magoli 2-1,
magoli ya chelsea yalifungwa na Garry Cahil dk ya 21 na Ramires dk ya 38
wakati Bradford walijipatia magoli yao kupitia kwa Jonathan Stead dk ya
41, Filipe Morais dk ya 75, Andrew Halliday dk ya 82 na Mark Yeates dk
ya 94.
Wakati
huo huo Man City nao wamepoteza mchezo wao dhidi ya Middlesbrough baada
ya kupokea kipigo cha magoli 2-0. Magoli ya Middlesbrough yalifungwa na
Patrick Bamford dakika ya 53 pamoja na Kike dakika ya 90.
Matokeo ya Mechi nyingine hayo hapo chini;

إرسال تعليق