Msanii Diamond Platinumz amesifiwa na wapenzi wa Zari the boss lady
haswa wanawake kwa jinsi anavyoishi na kumtakecare mpenzi wake. Kwenye
baadhi ya picha Diamond anaonekana akimfunga cheni za mikononi,
akimbebea Zari Pochi na hata kumfungulia milango ya gari.
Post a Comment