Diamond Asifiwa Kwa Jinsi Anavyoishi Na Zari, Pochi Anabeba na milango anafungua.

Msanii Diamond Platinumz amesifiwa na wapenzi wa Zari the boss lady haswa wanawake kwa jinsi anavyoishi na kumtakecare mpenzi wake. Kwenye baadhi ya picha Diamond anaonekana akimfunga cheni za mikononi, akimbebea Zari Pochi na hata kumfungulia milango ya gari.

diamond 2 diamond 3 diamond 4 diamond

Post a Comment

أحدث أقدم