HII NI HATARI!

Kijana aliyevalia viatu vya magurudumu akiwa amejishikisha  nyuma ya daladala maeneo ya Kigogo, jijini Dar es Salaam.
GPL imekuwa ikishuhudia baadhi ya vijana wakiwa wamevalia viatu vya magurudumu na kuonekana wakiwa wanacheza barabarani kwa kutumia viatu hivyo.Je, ni sahihi kwa wachezaji wa mchezo huo kucheza barabarani tena barabara inayopitisha  magari ya kila aina tena yakiwa katika mwendo kasi.

Post a Comment

Previous Post Next Post