Kijana aliyevalia viatu vya magurudumu akiwa amejishikisha nyuma ya daladala maeneo ya Kigogo, jijini Dar es Salaam.
GPL imekuwa ikishuhudia baadhi ya vijana wakiwa wamevalia viatu vya
magurudumu na kuonekana wakiwa wanacheza barabarani kwa kutumia viatu
hivyo.Je, ni sahihi kwa wachezaji wa mchezo huo kucheza barabarani tena
barabara inayopitisha magari ya kila aina tena yakiwa katika mwendo
kasi.
إرسال تعليق