HUU NDIO UJUMBE ALIOUTUMA ZARI KWENDA KWA DIAMOND INSTAGRAM - USIKU HUU

Mwanadada matata Zarina Hassan 'Zarithebosslady', ametupia neno la kumtakia kila kheri mpenzi wake Diamond Platnumz katika shoo yake ya leo usiku. Takriban dakika 45 zilizopita, Zari ametupia kwenye akaunti yake ya Intagram maneno yasemayo: Usiku huu nakutakia kila la kheri, nipo pamoja nawe kiroho...mahabbat hayo, lol!

Post a Comment

Previous Post Next Post