JKU Yatinga Fainal kwa kuifunga Yanga katika Mchezo wa Robo Fainal uliofanyika Usiku huu Amaan
Hisia0
Kikosi cha timu ya JKU kikipasha misuliu kabla ya mchezo wao wa Robo
Fainal na timu ya Yanga kuaza na kuibuka mshindi kwa kuifunga Yanga bao
moja katika kipindi cha pili cha mchezo kupitia mshambuliaji wake Amour
Janja.
إرسال تعليق