Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano
wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar Ndg. Vuai Ali Vuai, (katikati) Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abrahaman
Kinana.alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria
Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM uliofanyika Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake DK
Jakaya Mrisho Kikwete.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz, Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika
viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Kawaida cha Kamati
Kuu ya CCM, akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abrahamani Kinana
WAJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM, wakimsikiliza Mhe Salim Ahmeid
Salim akizungumza na Mhe Shamsi Vuai Nahodha na kulia Mhe Samia Suluhu Hassan,
wakibadilishana mawazo kabla ya kuaza kwa kikao hicho kilichofanyika Afisi Kuu
ya CCM Zanzibar.
إرسال تعليق