KESI
inayomkabili mwanamuziki wa Hip hop nchini, Rashid Makwiro ’Chid Benz’,
imeahirishwa tena leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar
es Salaam mpaka Januari 21, mwaka huu.
Mwanamuziki
huyo anakabiliwa na kesi ya kukamatwa na madawa ya kulevya katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar wakati akisafiri
kuelekea mkoani Mbeya kwa ajili ya kutumbuiza mwaka jana.
Kesi hiyo imesomwa mbele ya Hakimu Waliarwanda Lema.
إرسال تعليق