Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Mjini Unguja

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiongoza Kikao cha Kamati Kuu
ya CCM Taifa kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

Post a Comment

Previous Post Next Post