Mchezaji wa timu ya JKU na Mtibwa wakiwania mpira wakati wa mchezo wao
wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan timu hizo zimetoka
sare ya 1 - 1
Beki wa timu ya Mtibwa akimzuiya mshambuliaji wa timu ya JKU katika
mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa amaan. timu hizo
zimetoka sare 1 - 1
Golikipa wa Timu ya Mtibwa akiokoa moja ya mashambulio golini kwake huku beki wake akiwa tayari kumsaidia.
Mshambuliaji wa JKU akimpita beki wa timu ya Mtibwa. wakati wa mchezo
wao wa Kombe la Mapinduzi unaofanyika katuika uwanja wa amaan.
Mshambuliaji wa timu ya JKU akimpita beki wa timu ya Mtibwa wakati wa
mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi timu hizo zimetoka sare ya 1 - 1.
إرسال تعليق