JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
KATIBU WA BUNGE
TAREHE
|
SIKU/SAA
|
TUKIO
|
MAHALI
|
24/01/2015
na
25/01/2015
|
Jumamosi
na
Jumapili
|
Wabunge
kuelekea Dodoma.
|
Kutoka Dar es Salaam na sehemu mbalimbali.
|
26/01/2015
|
Jumatatu
Saa 5.00
asubuhi
Saa 11.00
Jioni
|
Kikao cha Briefing
kwa Wabunge wote.
|
Ukumbi wa Pius Msekwa.
|
Vikao vya Kamati
za vyama vya siasa.
|
Kumbi za Kamati.
|
||
27/01/2015
|
Jumanne
|
·
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.
·
Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 [The Tax Administration Bill, 2014] (Kupigiwa kura tu).
·
Muswada wa
Sheria ya Takwimu wa Mwaka 2013 [The
Statistics Bill, 2013] (Kamati ya
Bunge zima na Kusomwa mara ya Tatu)
|
|
28/01/2015
|
Jumatano
|
·
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.
·
Taarifa
za Kamati za Bunge zinazosimamia Fedha za Umma.
(i) Kamati
ya Hesabu za Serikali;
(ii) Kamati
ya Hesabu za Serikali za Mitaa;
(iii)Kamati
ya Bajeti.
|
|
29/01/2015
|
Alhamisi
|
·
Kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu.
·
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.
·
Taarifa
za Kamati za Bunge zinazosimamia Fedha za Umma.
(i) Kamati
ya Hesabu za Serikali;
(ii) Kamati
ya Hesabu za Serikali za Mitaa;
(iii)Kamati
ya Bajeti.
|
|
30/01/2015
|
Ijumaa
|
·
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.
·
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.
·
Taarifa za Kamati za Bunge za Kisekta/ zisizo za
Kisekta.
(i) Kamati
ya Miundombinu;
(ii) Kamati
ya Nishati na Madini.
|
|
31/01/2015
|
Jumamosi
|
(i) Kamati
ya Ardhi, Maliasili na Mazingira;
(ii) Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji.
|
|
01/01/2015
|
Jumapili
|
MAPUMZIKO
|
|
02/02/2015
|
Jumatatu
|
·
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.
·
Taarifa za Kamati za Bunge za Kisekta/ zisizo za
Kisekta.
(i) Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala;
(ii) Kamati ya Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa;
(iii)
Kamati ya Masuala ya UKIMWI.
|
|
03/02/2015
|
Jumanne
|
·
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.
·
Taarifa za Kamati za Bunge za Kisekta/ zisizo za
Kisekta.
(i) Kamati
ya Ulinzi na Usalama;
(ii) Kamati
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa;
(iii)
Kamati
ya Uchumi, Viwanda na Biashara.
|
|
04/02/2015
|
Jumatano
|
·
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.
·
Taarifa za Kamati za Bunge za Kisekta/ zisizo za
Kisekta.
(i) Kamati ya Huduma za Jamii;
(ii) Kamati
ya Maendeleo ya Jamii.
|
|
05/02/2015
|
Alhamisi
|
·
Kipindi cha Maswali ya Waziri Mkuu.
·
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.
·
Muswada wa
Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.2) wa mwaka 2014 [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.2) Bill, 2014].
|
|
06/02/2015
|
Ijumaa
|
·
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.
·
Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali
(Na.2) wa mwaka 2014 [The Written Laws (Miscellaneous
Amendments) (No. 2) Bill, 2014].
· Taarifa
ya Kamati Teule iliyoundwa kuchunguza na kuchambua Sera mbalimbali zinazohusu
masuala ya Ardhi, Kilimo, Mifugo, Maji na uwekezaji ili kubaini kasoro
zilizomo katika matumizi ya Ardhi. (Kuwasilishwa
Bungeni na Mwenyekiti)
|
|
07/02/2015
|
Jumamosi
|
· Taarifa
ya Kamati Teule iliyoundwa kuchunguza na kuchambua Sera mbalimbali zinazohusu
masuala ya Ardhi, Kilimo, Mifugo, Maji na uwekezaji ili kubaini kasoro
zilizomo katika matumizi ya Ardhi.
· HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE
|
|

إرسال تعليق